Je wanaume wanasemaje kuhusu mgomo?

Tangu utotoni mwangu, kwetu Ghana, nilimuona mama yangu na wanawake wengine wa kifanya kazi nyingi sana ili kuimarisha jamii na familia.  Ingawa kazi hizi hazina malipo ya fedha, wanawake wa jamii yetu huko inliko zaliwa Ghana, walifinyiliwa sana kwa mambo ya kujikuza na maendeleo.  Mgomo wa akina mama ulimwenguni na madai yao imenipatia nafasi ya kwanza ya kupata njia maalum ya kuhutubu mathambi wanayo tendewa akina mama ambayo yamenisubua sana.

Ulimwengu wa siku hizi, huheshimu kazi zinazo leta pesa na kusahaua kazi kama kulea, kutunza na kuendeleza maisha ya wengine.

Baba yangu alijiunga na jeshi akiwa wa umri wa miaka kumi na tano.  Alizaliwa kwa jamii masikini na ilimubidi aibe chakula kutoka sokoni na madukani.  Alijiuzuru kwenye jeshi ili aoane lakini vita vya kwanza vya dunia vikaanza na akarudi kazini tena.  Akiwa Ufaransa, alilipuliwa na akalazwa hosipitalini mpaka mwisho wa vita.  Mama husema kwamba likuwa amebadilika kabisa.  Alikuwa anatetemeka kila wakati.

Binti yangu ni mwalimu katika shule ya msingi.  Kwa sasa, yuko na mawazo mengi kwa sababu ya kazi nyingi anazo zifanya.  Kazi hizi ni zaidi ya kazi kawaida ya waalimu.  Lakini, kwa kuheshimu na kupenda wanafunzi, ni lazima azifanye .

Mimi ni hanisi na ninaishi na kutunza mama yangu ambaye ni mungonjwa (yeye pia hunitunza).  Sijui ni mahanisi wangapi ambao hutunza wazazi wao.  Najua kunao wengi na haiwezi kua jambo la upeke ingawa  mahanis/shoga hawatambuliwi katika jamii.

 

MGOMO WA WANAWAKE WA DUNIA

Ukurasa wa nyumbani (Home)