|
MGOMO WA WANAWAKE WA DUNIA Mgomo ya wanawake ulimwenguni ni nini, mama? Kila tarehe 8 mwezi wa tatu, tangu "millennium" mpya, wanawake na wasichana wa inchi zaidi 80, wa vijiji na miji, wame fanya mgomo kwa ku SIMAMISHA DUNIA NA KU IBADILI, na ku omba dunia ya kupa wanawake wote thamani yao. Hapa kuwa thamani ingi duniani, pia watu wengi hawana kitu, anza wanawake na watoto. Tarehe 11 mwezi wa tisa mwaka 2001, zaidi ya watu 3000 wa taifa mbalimbali wali fariki mji wa New York. Siku hiyo, sawa kila siku, watoto 35000 wali fariki kwa kutopata chakula cha kufaa, baadhi ya wengine pia katika Marekani. Milioni ya watu wali fariki na wana endelea ku fariki, madhabuha wa biashara ya Marekani, siasa na ku tumia nguvu na ku tawala ya kiaskari. "Vita juu ya hofu" ni ya kisasa na yenye mfano kubwa duniani. Wanawake wa fanya 2/3 ya kazi duniani kwa asili mia 5% ya pato. Kazi nyingi hizo hazina mshahara. Hatu wezi tena vumilia kwamba ma milioni 900 dola ya Marekani ina tumiwa kila mwaka katika kiaskari duniani, zaidi ya nusu katika Marekani pekee, wakati moja kwa kumi ya fedha ina lipa lazima ya maisha: maji safi, msingi wa ki afya na elimu, na kadiri ya pato kwa wote. Uwezo wa ma taifa mbalimbali na vita zao za asili zina ogopesha kila pande zote za maisha yetu, toka ku piga mizinga Afganistan paka woga wa "nuclear" ajili ya Iraq na katikati ya India na Pakistan, dharuba Venezuela, uharibifu wa uchumi wa Argentina, mauwaji katika inchi nyingi za Afrika na Palestine…Ku jilinda na ku omba udogo wetu na nyota kubwa zetu, tu li fanya mwendo mkubwa yenye inao kabiliana na wizi kwa njia ya " privatization" ya maji na umeme, mbegu,… Wenye hawa kuacha kazi, wenye kupana maisha, wenye ku lisha na ku Linda watu wote duniani, wenye kua kidogo ijapo kuwa siku mbili ao tatu za kazi, wali fanya mgomo kwa ajili mgomo ni silaha yenye uwezo sana wa endesha kazi wanao na sisi wanawake tuko wa endesha kazi wa nguvu. Wakati tuna acha, kila kitu kina simama. Hii ni sauti ya uhuru ya wanawake katika kushindana na "globalisation" na mwendo wa vita. Tuta badili dunia kwa hayo kazi iwe ya ku linda badala ya mauwaji ajili ya faida ya jamii.
MADAI YA MGOMO WA WANAWAKE WA
DUNIA.
The Global Women’s Strike is coordinated Email: womenstrike8m@server101.com
Maoni kutoka kijiji cha Kaabong, Uganda Wafanyakazi was Majumbani Wapigania Sheria za Kazi Je wanaume wanasemaje kuhusu mgomo? |
ALBANIA ALGERIA ARGENTINA AUSTRALIA AUSTRIA BANGLADESH BELARUS BELGIUM BOLIVIA BRAZIL BURKINA FASO CAMEROON CANADA CHAD CHILE COLOMBIA CONGO COSTA RICA CZECH REP DOMINICAN REP ECUADOR EL SALVADOR ENGLAND FINLAND FRANCE GERMANY GHANA GREECE GUATEMALA GUYANA HAITI HAWAII HONDURAS HONG KONG HUNGARY INDIA IRAN IRELAND ITALY JAPAN KENYA KOREA KUWAIT KYRGYZSTAN MACEDONIA MALAWI MAURITIUS MEXICO MOROCCO NETHERLANDS NEW ZEALAND NICARAGUA NIGERIA NORWAY PAKISTAN PANAMA PARAGUAY PERU PHILIPPINES PORTUGAL PUERTO RICO ROMANIA RUSSIA RWANDA SENEGAL SIERRA LEONE SLOVENIA SOUTH AFRICA SPAIN SWEDEN SWITZERLAND TAIWAN TANZANIA THAILAND TRINIDAD & TOBAGO TURKEY UGANDA URUGUAY USA WALES YEMEN |