|
ALBANIA, ALGERIA, ARGENTINA, AUSTRALIA, AUSTRIA, BANGLADESH, BELARUS, BELGIUM, BOLIVIA, BRAZIL, BURKINA FASO, CAMEROON, CANADA, CHAD, CHILE, COLOMBIA, CONGO, COSTA RICA, CZECH REP, DOMINICAN REP, ECUADOR, EL SALVADOR, ENGLAND, FINLAND, FRANCE, GERMANY, GHANA, GREECE, GUATEMALA, GUYANA, HAITI, HAWAII, HONDURAS, HONG KONG, HUNGARY, INDIA, IRAN, IRELAND, ITALY, JAPAN, KENYA, KOREA, KUWAIT, KYRGYZSTAN, MACEDONIA, MALAWI, MAURITIUS, MEXICO, MOROCCO, NETHERLANDS, NEW ZEALAND, NICARAGUA, NIGERIA, NORWAY, PAKISTAN, PANAMA, PARAGUAY, PERU, PHILIPPINES, PORTUGAL, PUERTO RICO, ROMANIA, RUSSIA, RWANDA, SENEGAL, SIERRA LEONE, SLOVENIA, SOUTH AFRICA, SPAIN, SWEDEN, SWITZERLAND, TAIWAN, TANZANIA, THAILAND, TRINIDAD & TOBAGO, TURKEY, UGANDA, URUGUAY, USA, WALES, YEMEN
Kazi zime achwa inchi nzima. Wanawake na wasichana mia tatu na wanaume 10 wali kutana mahali ya wanawake wa Kaabong, waki ji unga na wanawake 50 ku tokeya Loyoro walio fika jioni ilio pita. Washiriki wali vaa "T-Shirts" ilio pewa na mbunge moja mwanamke, pamoja na vazi ya asili. Mwendo huo uli ongozwa na bendera na wanawake wa tano waki shika fagio na waki fagia udongo. Wali tembea, ka pita chuo cha kipiliiitwayo "Senior Secondary School". Wali pita pia mbele ya afisi ya wilaya, kituo cha polisi na hospitali kubwa. Wali simama sokoni na waka fanya mchezo kidogo kub husu adithi ya ginsi ya ku komesha na ku shtaki ugomvi wa nyumbani. Ku omba haki, wali imba kwa nguvu maombi zao: maji ya kunywa safi, barabara na mwisho wa umaskini. Baada ya hapo, wali rudi mahali yao ku fanya karamu,na kula kwa furaha nyama ya ng’ombe ya ku choma na wakinywa pombe ya mtaani. MAONI KUTOKA KIJIJI CHA Kaabong, Uganda Mimi ni mama wa mashambani na kiongozi wa akina mama katika kijiji chetu. Tangu tujiunge na mgomo, nimeona mabadiliko mengi maishani mwangu. Mme wangu amenipatia shamba na ana shukulu kazi ninazofanya nyumbani.
Mme wangu alinichukua kama mali yake. Lakini baada ya mgomo, ameheshimu haki zangu. Alinipatia ng’ombe mmoja na mbuzi wawili. Sasa nina mifugo sita amboyo naweza uza ama nifanye chochote bila kumuomba ruhusa. Mgomo ni silaha kubwa. Jamii yangu waweza sasa kupata matibabu ya bure. Nina furaha kwamba wanawake na wasichana kutoka zaidi ya nchi sitini wameungana pamoja kupigania haki ya kumaliza kazi nyingi wanazo zifanya, huduma ya afya, maji masafi na kutotaka vita. Mimi ni mke wa shujaa na nina amini mgomo. Watoto wangu wawili wakiume waliaga dunia kutokana na vita via ukabila. Wanawake wengi walichukuliwa kwa nguvu. Mimi ni mama ambaye hajaolewa na nina fanya kazi na huduma ya afya katika kijiji chetu. Tangu tuwe na mgomo, wanaume katika jamii yetu, waweona umuhimu wa akina mama wenye watoto bila bwana. Mimi ni kiongozi katika mtaa wa Lolelia na ninaunga mkono nia za akina mama za kutaka dunia iwe mahali patulivu pakuishi. Nawaomba wanaume wote duniani waunge mkono mgomo wa akina mama.
Santa Fe : Kwa muda wa saa 6.30 asubui, umoja wa wakina mama (SAC), wali alika watu wote katika ukarasa wenye matangazo ku ungana nao ku husu "ku fagia…za rushwa zote."Jioni mapema, kwenye joto ya ku chemka, wali toka nje waki geuza sura zao kama wa chawi, na vibao vime andikwa: "Moto haiku tu uwa sisi, tupo apa milioni". Wanawake wajirani wa sehemu nyingi wame tengeneza watoto wa bandia na vibao na maombi yao pia na izo za ulimwengu. Shirika ya wanawake wa sehemu mbalimbali wali tengeneza kitiji kirefu kyenye kina mikono na miguu ya ku endeshwa. Mwendo ime tanguliwa na gari ya ku chukulia mizigo ( pick-up truck). Gari hiyo ili kuwa ina beba umoja wa wana wake hao ambae ali kuwa ana vaa kama sanamu pamoja na ukutani ime andikwa: " Sisi hatuko sanamu za nyinyi ku nyia eko, sawa njiwa anavyo fanya". Ngoma na nyimbo za sherehe ya kundi ili vuta wanawake wengi kutoka nje ya nyumba zao, waki piga mikono na fagio mkononi! Katika "Plaza de Maya", wanawake 500 wali kuwa katika mkusanyiko na ku sema sana. Wengi wali sema, ndani yao wa mama wazazi wa Plaza de Mayo [ jamii ya wa mama wazazi wa watu walio potea katika myaka 76-94 wa utawalaji wa upekee]. Sanamu zili nza ku fagia bweta zime fungwa na alama zenye zime andikwa: nguvu, dini ya inchi masikini, matumizi mabaya ya kike, banki ya ulimwengu, rushwa,… "Fagia pia katika Rosario". Ku acha kazi ili kua na matokeo mengine inchini: ili tangazwa katika mkutano wa ujarini inchini Buenos Aires na kwenye vyombo vyote vya habari.
Barua kwa wanawake asili ulimwnguni . . .
London: Filimbi ina simamisha safari na chungu na kikaango. Wanawake 400, watoto na wanaume wali fagia wa "uwaji wa ulimwengu". Waki elekezwa na bandia kubwa, safari ili anza katika mahali ya Shell, wakikataa bomba la sumu yenye ku haribu afya na uchumi, hasa katika jamii ya mashamba.Nje ya waziri ya mambo ya ulinzi, wanawake wa amani mbalimbali wali kua na ushaidi; wa tendaji tokea "legendary Greeham Common Women’s Peace Camp" wali sema, na "dykes" mgomo waki ita "lesbians na gays" ku acha kiaskari. Wanaume wali sema waki kabili ku fundishwa ku uwa badala ya ku Linda. Mkusanyo wenye nguvu nje ya banki ya dunia ili onyesha wazi kwamba sehemu zenye ku IMF sawa "global loan sharks". Kati yao: wanawake wa Afrika aki kamata msimamo wa kukabili pesa ya mavuno yenye wanaume wana dai ku otesha, na yenye ku haribu riziki ya shamba ya wanawake yenye jamii yote ime tegemea ku husu chakula; wanawake wenye upunguani, watumiaji wa viti yenye kuwa na gurdumu na viziwi; wenye kupona hatari ya bikiri; wanawake na wanaume wenye ku ingiya inchi kusudi kukaa… England: Hifadhi kutokana na ubakaji Karibu nusu ya wanawake wanaoomba hifadhi nchini Uingereza,ambapo wengi wao wanatoka katika maeneo ya vita au ya madikteta wakatili ni waathiriwa wa ubakaji.Hata hivyo,wakati mwingi serikali haitambui ubakaji na vurugu nyinginezo za ngono kuwa ni sababu za kuomba hifadhi.Kuanzia wakati wanapowasili,waathiriwa wa ubakaji kwa kawaida wanakabiliwa na ubaguzi na chuki za wageni, vyote hivi vikizidisha ubaguzi jinsia ambao waathiriwa wote wa ubakaji wanaufahamu. Ofisi ya mambo ya Ndani ya Uingereza inajibu madai ya wanawake kwa chuki na kutoamini, na kuyakataa madai hayo kuwa ya ‘bandia’.Badala ya kupata msaada na kuungwa mkono,wanawake na familia zao wanafanywa kuwa masikini kifedha kutokana na mfumo wa kutumia vocha ambao unawanyima marupurupu.Wananyimwa pia ushauri huru wa kisheria,kupata huduma za matibabu na huduma nyinginezo,na kutengwa na uwezekano wa kupata msaada wa jamii.Wanawake wengi huwekwa hata kizuizini.Fikiria malalamiko ambayo yangeweza kutolewa kama wanawake wa kiingereza ambao wangelipiga ripoti polisi kuwa wamebakwa wamefungwa jela! Tunafanya kampeni ya kuleta mabadiliko katika sheria na jinsi zinavyotekelezwa ili kwamba wanawake ambao wanabakwa katika nchi nyinginezo na wanaomba hifadhi hapa wanapata ulinzi wanaotakiwa kupata.Lalamiko la kundi la wanawake wa Global Women of Colour Network wa WinWages wanadai kuwa:
Katika Chiapas, jamii ya wanawake ya San Crstobal de las Casas, COLEM ( The women’s collective of San Cristobal de las Casas), wali ji unga katika ku acha kazi. Katika Guerrero mwandishi wa habari moja wa sauti ya wanawake wali shtaki ma bwana wa kazi ku husu matumizi mabaya ya haki za wafanya kazi. Ali shtaki wazi mauwaji ya zaidi ya wanawake 200 katika mji wa Juarez tangu mwaka 1993 ( yeney ime kamatwa ku jamii ya haki za binadamu ya marekani); na aka omba ku fanywe uchunguzi ku husu bikiri ya wanawake ambayo ili tendwa na wa askari wa mji wa Montana. Ali uliza kwa nini hakuna pesa na mali ku husu wanawake na watoto wakati ma milioni elfu 800 ya Marekani ime tolewa katika kiaskari.
Muungano wa elimu wa Anun wali fanya mgomo ya wanawake, waki beba ukutani ume andikwa: "Nani ana sikiliza wanawake?". Ume andikwa pia "Husikeni na watoto wenu na wanaume". Wanawake wa shambani wame poteza katika umoja wa dunia, yenye ime husiana na rasilmali, umaskini ume wanyima elimu, afya na elimu zenye ku husiana na kazi. Wana omba serekali ipate ku endesha tena ao ku fanya kazi tena ya shamba za inchi ambayo ili imarishwa katika jamhuri ya kwanza ya Ghana ambayo ili anguka. Shamba hizo zili toa kazi kwa wanawake na wasichana wa shambani. Ndani ya ombi zao kuna:
|